



Xpeedi ni Application ya simu (simu / tablets) ambayo inawapa watu huduma ya "Kurequest" usafiri kwa ajili ya watu, kutuma vifurushi, mizigo na hata kufanya "shopping" zenye "Delivary" huduma inapatiakana Dar Es Salaam baadae Tanzania pote na (kuendelea) . Xpeedi inapatinana kwa watumiaji wa Android na ISO. Ikiwa na huduma Nane(8) ndani ya App moja kama vile; X-Moto (Pikipiki), X-Car (Car), X-Food (Uagizaji wa vyakula), X-Shopping (Manunuzi ya dukani), X-Medics(Huduma za Afya Majumbani), X-Box (Usafirishaji wa mizigo mikubwa kwa Fuso,Kirikuu etc), X-Send (Kutuma vifurushi na document kwa Pikipiki) na X-Service (Mafundi Dish, Magari, A.C kwa dharura). Xpeedi ipo kwa ajili ya kukusaidia.
Transportation services by car to present comfort and style. Go to your destination safely
Motorized transport services to cope with congestion. Go to your destination quickly and safely.
24 hour call Medical service, ready to be called home, office and wherever you are on the move.
The world's largest food-service messaging service and working with Quality merchants
The Service of your choice from AC, to Cars and Dish, many more service to come
Search anything with close proximity the app will find for you and deliver to your location
Send any cargo anywhere you want by using our trusted, known Driver to help you move your Cargo
Send packages and document and our drivers will pick up and send for you the destination.
Ukisha onesha ulipo na unapoenda ama unachotuma au kutaka kupokea App itakadiria Gharama zako.
Xpeedi itatafuta dereva kwa ajili yako suburi kidogo kisha dereva atapokea.
Unaweza kutumia App kuchat na dereva ama kumpigia simu, pia unaweza kuwasiliana na dereva kwa simu yake kawaida.